Monday, October 31, 2011

Arusi ya Musau Kabongo na Orrin Kennedy Boston

Wadau, napenda kwajulisha kuwa ya binti tuliyemfanyia Kitchen Party mwezi uliopita ameolewa jana, jumapili 30.10.11 hapa Boston. Binti Musau Kabongo ameolewa na kijana Orrin Kennedy ambaye asili yake ni kisiwa cha Trinidad.  Musau ni mtoto wa Dada Margaret Kabula kutoka Mwanza lakini anakaa Boston sasa. Baba Musau anatoka Congo. Arusi ilifanyika kwenye kanisa la Seventh Day Dorchester, MA na Reception ilifanyika DAV Function Hall Braintree, MA.
Mimi na Wana Arusi Musau na Orrin


Musau na Orrin Kabla ya Kukata Keki

Dada Doreen Kutoka Rhode Island Akisimamia Chakula

Bwana Arusi Akitafuta Garter kwenye mguu wa Bibi Arusi
 
Kama Kawaida Akina Mama waTanzania walipika Chakula Kingi

Orrin na Musau Wakikata Keki

Wageni Wakijipatia Mlo
Mama wa Bibi Arusi, Margaret Kabula (amesimama) na Vicky Mareaelle na mume wake

Mimi, wana arusi na kulia kabisa ni Rafiki yangu na msanii mwenzangu Charles Jackson Aka. Mzee Matumbi

1 comment:

Anonymous said...

hongera da chemponda umenawiri na kupendeza sana big up dadaa