Saturday, March 16, 2013

Ana Matako Makubwa Kuliko Wanawake Wote Duniani!

 Duh! Huyo mama ana matako makubwa ni maajabu!

Mikel - Hip measurement 99 inches ( 251.5 cm)6 comments:

Anonymous said...

Huo ni ugonjwa!

Anonymous said...

South Africa, Zaimbabwe, Botswana, Namibia etc kwa pamoja wanatoa zaidi ya wanawake milioni 2 wenye matako makubwa kuliko huyu.
Ni kweli haya malongomba ni makubwa lakini siyo makubwa kuliko yote duniani.

Anonymous said...

Namtaka mwanamke kama huyo!

Mbele said...

Kwa jadi ya tamaduni nyingi Afrika, kuanzia kaskazini hadi kusini, unene wa mwanamke ni uzuri. Katika kitabu changu cha "Africans and Americans: Embracing Cultural Differences," nimegusia hilo na kutoa ushahidi.

Tatizo ni jinsi wa-Tanzania wa leo wanavyojikanyaga. Utawakuta wanaiga mambo ya wazungu. Mashindano ya urembo wanashiriki wembamba tu. Lakini je, mioyoni mwa wa Tanzania, wanaamini kweli wembamba huu ndio uzuri?

Huko mitaani, wa-Tanzania hao hao wanavutiwa na mwanamke mnene. Tena kuna hata usemi, "cheka unenepe," ambao nadhani ninauonaga kwa Michuzi. Usemi wa aina hii unaashiria jinsi unene ulivyo jambo la thamani katika jamii yetu.

Anonymous said...

Yup Mbele~ Beauty contests in Tanzania are a disgrace. The obsession with such activities and 'skinniness' is beyond comprehension!

Having said the above, I'm sure the woman in the picture has problems sitting in regular chairs, and sitting on seats on planes and other forms of transport...

Anonymous said...

Da Chemi hebu nitumie email yake. Magari makubwa kama haya ndiyo ninayoyataka. Mzigo kama huu bila kunywa Konyagi chupa nzima utaumbuka mzee mzima.