Wednesday, March 27, 2013

Picha Kutoka Seti ya Sinema Hapa Boston

Wadau, wiki iliyopita nilishiriki katiika sinema inayopigwa hapa Boston. Kwa sasa haina jina lakini mwongoji ana Oscars kadhaa. Siwezi kuwaambia mengi mpaka sinema itoke.  Nguo niliyovaa iko chini ya koti. Na nilivaa wigi enye nywele ndefu.  Lakini sidhani kama nitaonekana, kama nitabahatika kutoka utaniona natongozana na jamaa chuma kweli!

3 comments:

emu-three said...

Hongera mpendwa,...TUPO PAMOJA

Anonymous said...

Looking good Dada Chemi!

Anonymous said...

Dah! Simlaumu huyo aliyekutongoza kwenye seti.