Showing posts with label Mzee. Show all posts
Showing posts with label Mzee. Show all posts
Thursday, January 26, 2017
Saturday, November 07, 2015
Kizee wa Miaka 72 Aolewa na Kijana wa Miaka 22
Wadau, kijana wa miaka 22 kutoka Dominican Republic, amemwoa bi kizee tajiri wa kiMarekani mwenye miaka 72. Ni mapenzi au.... labda kizee anapenda ngono anayopata kutoka kwa huyo kijana, na huyo kijana anataka hela ya huyo bi kizee na pia atapata makaratasi ya kukaa Marekani. Haya tuwatakie maisha mema ya ndoa.
Labels:
Bi Kizee,
Dominican Republic,
Harusi,
Mzee,
Ndoa,
Ngono,
Tendo la Ndoa,
The Cougar,
Toy Boy
Monday, October 14, 2013
Midume Haitosheki!
Hivi, kwa nini midume haitosheki kwa ngono hata ikizeeka? Babu inaona nyuma lakini inataka kuona mbele pia! Khaa!
Wednesday, February 06, 2013
Mbwa Mtu!
Bila shaka kuna mtu kalogwa kuwa akifa atarudi duniani kama mbwa! Basi ndo huyo hapa! HII PICHA SIYO PHOTOSHOP!
Friday, November 27, 2009
Mzee wa miaka 86 Ambaka Msichana mdogo Dar!
Duniani kuna mambo! Huko Kinyerezi, Dar es Salaam, Mzee mwenye miaka 86 kambaka msichana mwenye miaka mitano! KHAA! Yaani alishindwa kumpata hata malaya wa kumridisha! Na wanasema kuwa alimpenya huyo mtoto! Nadhani huyo mzee atafia jela hivi karibuni! DUH!
Kama miaka mitano iliyopita hapa Boston, kuna Babu mwenye miaka 83 alimtia mimba msichana mwenye miaka 9! Hapa watoto wengine wana vunja ungo mapema. Yule binti alikuwa anakwenda na kikundi fulani cha watoto kwenye nyumba za wazee kuwatembelea na kuwa marafiki na wazee. Si mnajua nyumba za wazee hapa ni nyumba za kusibiri kifo. Tulishangaa kusikia bado vinaongelea na umri huo.
*******************************************************************
Kutoka ippmedia.comhttp://www.ippmedia.com
Elderly man (86) charged with raping kid (5)
By Jacqueline Mosha
27th November 2009
An elderly man, Omari Kitambo (86), was on Thursday arraigned in the Ilala District Court charged with raping a five-year-old girl (name withheld).
The accused, a resident of Kinyerezi on the outskirts of Dar es Salaam, appeared before Resident Magistrate Joyce Minde.
According to Asma Shemweta who read the charge sheet, the accused had carnal knowledge of the girl.
The accused pleaded not guilty to the charges and was remanded in custody after failing to meet bail conditions.

Monday, January 05, 2009
Mtu Mzee Kuliko Wote duniani sasa ni Mmarekani Mweusi
Mwezi November mwaka jana, mtu mzee kuliko wote, Bibi Edna Parker, alifariki huko Indiana, USA akiwa na miaka 115!Leo wataalam wametangaza kuwa Bibi Gertude Baines (pichani), mwenye miaka 114 ni mtu mzee kuliko wote duniani. Bibi Baines, ni mtoto wa watumwa. Alizaliwa mwaka 1894 huko Atlanta, Georgia.
Kwa sasa anakaa Los Angeles,California kwenye nyumba ya wazee.
Ni baraka kuweza kuishi muda wote huo tena katika karne tatu! 1800's, 1900's, 2000's. Ila wakati mwingine nafikiria kuna wakati utakuwa mpweke hasa ukifikiria watu wote uliokuwa unawafahamu wamekwisha kufa.
Hivi huko Afrika hakuna watu wenye umri mkubwa hivyo? Maana naona hao wataalam wanachunguza nchi zilizoendelea na hata siku moja sijasikia walienda Afrika kuchunguza.
Namtakia Bibi Baines, maisha marefu zaidi. Mungu amlinde.
Na kitu kingine, hapa Marekani kuna usemi "Black Don't Crack!" yaani ngozi nyeusi haivunjiki. Wana maana kuwa watu weusi hawazeeki kama wazungu ambao ngozi yao inasinyaa vibaya.
Wadau, kama mnafahamu watu wenye umri mkubwa zaidi ya miaka 100 hebu tutoe ripoti kwa hao wanaojiita watalaam wa umri waingie kwenye record books.
Najua watu wanatania, au kuna mzee fulani asubuhi tunamtoa na kumanika juani. Je, ana miaka mingapi?
GOD BLESS YOU MS. BAINES!
************************************************************************
LOS ANGELES, California (CNN) -- Gertrude Baines, ma 114-year-old California resident, will likely be crowned the world's oldest woman, according to the organization that keeps track of such honors.
Gertrude Baines told CNN two years ago that she has taken good care of herself, "the way (God) wanted me to."
The previous oldest woman was Maria de Jesus, who died this week in Portugal at age 115, Guinness World Records said.
Baines -- born to former slaves in a small town south of Atlanta, Georgia, in 1894 -- now lives in a Los Angeles nursing home.
Baines appeared cheerful and talkative when the Los Angeles Times interviewed her in November as she cast her vote for Barack Obama for president, whom she said she supported because "he's for the colored people."
"I'm glad we're getting a colored man in there," she said.
Baines apparently prefers using the older term for her race. She was well into her 70s when "African-American" became the common reference in the United States. Watch Baines speak to CNN
She told the Times she spends most of her time "doing nothing but eating and sleeping."
When CNN interviewed Baines two years ago, she was asked to explain why she thought she has lived so long.
"God. Ask him. I took good care of myself, the way he wanted me to," Baines said.
Her only child, a daughter, died of typhoid fever at age 18.
Much of her long life was lived in Ohio, where she worked as a "house mom" at a state university. She eventually divorced and traveled to Los Angeles, where she retired.
Baines will not officially be given the title until after Guinness World Records completes an investigation, the organization said.
"Maria was crowned the world's Oldest Living Woman by Guinness World Records on 28 December upon the death of Edna Parker," the group said.
Parker -- an American -- was 115 years, 220 days old when she died November 26, 2008, in an Indiana nursing home, it said.
********************************************
KAMA MNA HABARI ZA WAZEE WENYE UMRI MKUBWA TAFADHALI WASILIANA NA GUINESS BOOK OF RECORDS:
http://www.guinnessworldrecords.com/member/how_to_become_a_record_breaker.aspx
Labels:
Gertrude Baines,
Guiness Book of Records,
Mzee,
Nursing Home,
Oldest Person,
Wazee
Subscribe to:
Comments (Atom)