Mama Mzazi wa marehemu Mheshimiwa Amina Chifupa, Bi Judy Mbanga, (mwenye kitambaa cheusi) akiwasili kwenye kilio Mikocheni. (photo from
Michuzi Blog)
Gari ya kubeba maiti (Hearse) ikiwasili Mikocheni, nyumbani kwa Baba yake marehemu Mheshimiwa Amina Chifupa ambapo ibada ya kumwombea ilifanyika.
Sheikh Mkuu, Issa Shabaan bin Simba, aliongoza ibada ya kumwombea marehemu Mheshimiwa Amina Chifupa.
Waombolezaji walijitokeza kwa wingi kwenye msiba wa marehemu Mheshimiwa Amina Chifupa huko nyumbani kwa baba yake Mikocheni.
Kavareji! News Coverage ya magazeti Bongo. Kila gazeti ilikuwa na habari hizo za kusikitisha.
Baadhi ya waombolezaji yumbani kwa Mzee Chifupa. Kulia ni mtangazaji wa Clouds88.4 FM Sebastian Ndege (mzee wa njia panda) akitangaza moja kwa moja (live) kwenye msiba huo uliohudhuriwa na maelfu ya watu. Photo from Jiachie Blog.
3 comments:
Waislamu naomba mnielezee.
Redio mbao nyiiingi, eti Mumewe alimwambia aape kwamba hakutembea na Zitto, akaapa,na kondoo ikachinjwa. Since then,she was never the same,slowly akapata na uchizi, na hospitali walimfunga kamba!!!! Jamani kweli..... kama ni kweli basi inatia uchungu.
Waislamu embu tuambieni eti kuapishana ndio inakuwa hivi kama mtu akisema uongo???
Jamani! Kama ni hivyo basi huenda ni kweli kafa kwa CEREBRAL MALARIA!
wee bwana michuzi jr acha hiyo misemo ya kukata tamaa -kazi ya Mungu haina makosa lakini tusiruhusu Binadamu aharibu hiyo kazi!!!Lazima tujue kama binadamu ameharibu achukuliwe hatua zinazofaa, kama ni natural death basi iwe mwisho wa hadithi
Post a Comment