Tuesday, March 30, 2010

Mafuriko Boston

Kwa siku kadha tunapigwa na mvua hapa Boston. Haiishi! Hata jua tumesahau ikoje! Watu wengi wamekuta basemenst zao zimefurika, na wamepoteza vitu waliyoweka huko. Mto Charles na mito mingine imefurika. Barabara kadhaa zimefungwa. Kama wangeweza kutuma huo mvua Afrika wangetuma! Gavana wa Massachusetts ameomba msaada kwa serikali Washington D.C. kwa walioathirkia.

Mimi nasema nashukuru siyo snow (Theluji) si ingesha fika futi sita! Mbona tungekoma!

http://news.yahoo.com/s/ap/us_severe_weather

No comments: