Friday, March 12, 2010

Kazi New York kama unajua KiMatumbi!

Kutoka Craigslist.

I am making a film that incorporates the story of Kinjikitile "Bokero" Ngwale and the Maji Maji Rebellion in German East Africa during the turn of the century.

I am in need of a male to play the part of Bokero himself (voice only). The text that will need to be be read will be about 2 minutes in length, and will need to be translated from English. No prior acting or voice acting experience is necessary.

Ideally, I am looking for someone who can speak Matumbi, but someone who can speak Swahili or any other East African Bantu language with a Tanzanian or East African accent would work as well.

I am offering $30 compensation and will also provide credit in the film, a copy of the finished film, and a copy of your voice recording.

Recording can be done in person (either Union Square, Manhattan or Clinton Hill, Brooklyn) or over the internet - whichever is preferable for you.

If you are interested, please contact me with a voice sample and I will provide more details about the project.

Unaweza kumjibu kupita Craigslist!

Matumbi, Swahili, or Bantu speaking East African wanted for voice overgigs-zjap7-1640211759@craigslist.org

6 comments:

Mfalme Mrope said...

Dada Chemi huyo jamaa bahili sana. Yaani dola 30??? Bora angesema bure watu tujue tunajitolea... Teh tehe tehe!!

Anonymous said...

Da chemi 2 minutes text ni ndefu sana kwa hiyo $30 ni ndogo angeweka compensation yake per character mtu angepata moyo wa kuifanya au basi aseme anaomba ifanyike bure kuna watu wangejitokeza kumsaidia.

Cheketua said...

Dada Chemi mashujaa wetu wa Maji Maji hawakuwa rebels(waasi)naomba huyo mwandishi/film maker abadilishe hiyo kauli, ile ilikuwa war of resistance na siyo Maji Maji Rebellion, mashujaa walikuwa wanapinga utawala dhalimu wa kijerumani,ina maana kuuondoa ukoloni maana yake ni kuwa muasi?

nimewasilisha

Gervas Kasiga.

Anonymous said...

Huyu mtu ni tapeli aende TZ akawatafute..manake hata XTRAS hawalipwi hiyo pesa...

Chemi Che-Mponda said...

Wadau, huyo jamaa simjui, niliona post kwenye craigslist. Naona afadhali yuko tayari kutoa hizo $30wengine wanataka bure!

Justin Kasyome said...

Huyu jamaa mkali! Nampongeza kwa idea yake ya kukumbusha mashujaa wetu kwa vizazi vijavyo kupitia sanaa ya film! Napa tano!