Monday, March 08, 2010

Uvumi Kuhusu Maalim Seif


Muda si mrefu kulipita uvumi kuwa Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amefariki, lakini ukweli ni kuwa Kiongozi huyo hajafariki lakini amelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Hindi Mandal Dar es Salaama. Na inadaiwa aliugua ghafla akiwa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.

TEMBELEA MROKI MROKI BLOG KWA HABARI ZAIDI.

BLOG: www.mrokim.blogspot.com

No comments: