Saturday, March 06, 2010

Ushenzi wa Republicans!


Duh, sasa hao Republicans wametia fola! Wanatumia mbinu za kutishia watu kuwa Rais Obama anataka kugeuza Marekani kuwa nchi ya kijamaa! Wamemtukana pia kiongozi wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi na Harry Reid , kiongozi wa Senate wamemfanisha na yule mbwa mkubwa lakini mwoga Scooby Doo!
Makaratasi yalikutwa katika chumba cha hoteli huko Florida. Mnaweza kusoma habari zaidi HAPA:
Baada ya kuisoma utaona jinsi Republicans wanavyodharau watu na kuwaona wana akili finyu!

1 comment:

Anonymous said...

Wewe kwa ushabiki hujambo!! Marekani ndio maana imeendelea hamna kuuza sura, Obama akiboronga wanamwambia.