Tuesday, March 09, 2010

Ruksa kwa Wapenda Jinsia Moja Kufunga Ndoa D.C.!(Pichani baadhi ya wapenda jinsia moja waliofunga ndoa leo huko Washington D.C.)

Sasa huko mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. ni ruksa kwa wapenda jinsia moja (Gay/lesbian) kufunga ndoa. Washington D.C. sasa inakuwa jimbo la sita kuruhusu ndoa za aina hiyo.
Mmmh! Kuna madai kuwa eti ushoga utaongezeka katika nchi za Third World, kwa vile wataona kuwa watapata misaada zaidi wakiwa watu wa aina hiyo.
Kwa habari zaidi someni:

1 comment:

Anonymous said...

Dunia umekwisha! Wajanja wa Bongos sasa watatafuta hao gays wafunge ndoa nao ili wapate makaratasi.