Tuesday, July 06, 2010

Caster Semenya Aruhusiwa Kukimbia Kama Mwanamke


Yule mwanariadha kutoka Afrika Kusini ambaye watu hawakujua kama ni jike au dume ataruhusiwa kukimbia na wanawake.

Jamani, Sijui nyie lakini mimi namwona Caster Semenya kama ni mwanaume vile. Angekuwa hapa Marekani mashoga wangemfurahia kweli kweli! Kama mtakumbuka wataalam waligundua kuwa amebarikiwa kuwa na nyeti za kike na za kiume. HERMAPHRODITE. Ingawa kwa nje anaonekana kama dume, inaelekea nyeti za kike zinatoa hormones zaidi.

Hebu wataalamu wa Sayansi mtusaidie kuelewa. Walijaribu kumpamba aonekane kama mwanamke, lakini sauti bass pale pale, mikono mikubwa, hana dalili ya matiti, shepu dume dume!

Kwa habari zaidi someni:

7 comments:

Anonymous said...

Huyo ni dume na wala si jike dume!

Anonymous said...

Daaaah! Huyo mwanaume!

Anonymous said...

Nisamehe tafadhali. Msingesema ni mwanamke haki ya mungu ningesema ni mwanaume.

Kaka Trio said...

Kwani ni nyie wadau mnao amua nani awe jike au nani awe dume? kwani hamna wanawake wanaotofautina ukubwa wa vifua, matako na vinginevyo? kila mtu kaumbw ana Mungu kwa umbile lakie mwenyewe kwa ivo nyie hamna haki ya kumjaji mutu awaye yeyote.

Fred said...

Mimi namwona kama dume. Nikimvua nguo sidhani kama nitaweza kumwona kama mwanamke wa kula mavitu naye. Lazima mashoga watamfaidi!

Anonymous said...

yaani da Chemi mimi huniweki chumba kimoja na huyu dada maana nitahisi nipo na mwanaume. Basi kama ni mwanamke kazi ya Mungu haina makosa wacha apewe haki yake. halafu hiyo picha amevaa bukta ya kijana mmh hapo kwenye nonino kama kuna uume

Anonymous said...

Mikono na sauti siyo vigezo vya kupima jinsia ya mtu. Sasa hao wanawake wenye ndevu na sharubu nao ni wanaume? You guys are pathetic, aaaghrrrrrrrrrrrrr