Saturday, July 17, 2010

Zilipendwa - Dont' Go Lose It BabyNilikuwa napenda sana huo wimbo wa Hugh Masekela na kideo chake. Hasa wale wakina dada na nywele zao natural. Wanapendeza! Sikiliza rap ya Hugh.

1 comment:

Anonymous said...

Umenikumbusha mimi na mke wangu mbali sana Dada Chemi. Asante. na ni kweli hao akina dada wamependeza na unatural wao.