Saturday, July 24, 2010

Zilipendwa - Mambo Bado

Haya wadau, mnakumbka huo wimbo?Mambo Bado X2
Tulia Tulia Tulia,
Magoma moto moto,
Yaliyosemwa mambo bado,
Disco angwayaaa
Mambo Bado X2
Magoma motomoto na Nairobi,
Magoma motomoto na Dar-es-Salaam,
Sega-down mambo bado
Mambo Bado X2
Nataka toka toka na Kinondoni,
Magoma motomoto yatoka Tanga...

6 comments:

EDWIN NDAKI said...

4 sure old is gold :)

Anonymous said...

Asante sana Dada Chemi, nimekumbuka wakati nasoma Kinondoni Sec hapo zamani za kale.

Joseph J. said...

Yeah, wakati nikiwa Mdogo (80s), ndio zilikuwa song za wazee

emu-three said...

Kama ni wewe uliwahi kumuona baba wa taifa akiwa madarakani huwezi kuusahau huo mziki.
Na nakumbuka wengi waliubadili na kuingiza katika maswala yao, mmmh, sinajua tena watu kubadili maana kwa utashi wao...`mambo bado...'

Anonymous said...

Nimetoka kusikiliza kasongo yeye hapa sasa hivi.
Asante Da Chemi.

Anonymous said...

Mtatatuchoka choka Mwananyamala!
Mtatatuchoka choka na Oystaa Beeiii!

Kweli tulikuwa tunaingiza maneno yetu!