Saturday, July 31, 2010

Safarini Anguilla

Wadau, niko nchini Anguilla, kwa mdogo wangu Malaika. Nitaposti habari za Anguilla hivi karibuni.

3 comments:

SIMON KITURURU said...

Safari njema!

Yasinta Ngonyani said...

Safari njema!!

Anonymous said...

msalimie, pia usiache kutupostia mapicha ya huko na sie tufaidi