Saturday, July 10, 2010

The Twist Ina Miaka 50

Ile ngoma maarufu, The Twist, inasherekea miaka hamsini toka izaliwe. Uliimbwa na Chubby Checker. Watu wengi wataikumbuka ngoma iliyofanya wazee na vijana wazungu na weusi wamke na kukata viuno. Haya chezeni TWIST!!!!**********************************************

Kwa habari zaidi someni:

http://www.philly.com/inquirer/front_page/20100710_50_years_of_the_Twist_celebrated.html

3 comments:

Anonymous said...

asante Da Chemi... Huko Kilimanjaro wangepata hii style ya kutupa kamkono ingekuwa poa maana wao wanajua tu ileya kurusha kamguu

Anonymous said...

Twisti ndo ilikuwa ngoma ya mabibi na mababu zetu. Hebu umwulize mzee wa miaka 70+ watakuambia! Ilikuwa ngoma kubwa kwa walioendelea Afrika.

Anonymous said...

aaaiiiii umenikumbusha marehemu baba yangu alikua anaipenda twist ilee mbaya!asante da chemi

mdau kigali makazi boxini kusaka chake