Sunday, August 15, 2010

Dr. Aleck Che-Mponda Ashekerea 75th Birthday!

Baba yangu mzazi, Dr. Aleck Che-Mponda amesherekea miaka 75 ya kuzaliwa. Tulimfanyia ka-party Maryland kwa mdogo wangu.

HAPPY BIRTHDAY DAD! May you see many more!

***************************************************************

Baba na baadhi ya zawadi alizopewa.

Baba akifungua Champagne.
Baba akijiandaa kupuliza mishumaa kwenye keki ya birthday.

Mara baada ya Mama kumlisha baba Birthday cake.
Ndugu kutoka Anguilla walikuja kusherekea pia. Hapa Baba yuko na wifi wa mdogo wangu na Mama mkwe wa mdogo wangu Mama Gumbs.
Pichani (mimi, Mrs. Rita Che-Mponda, Dr. Aleck Che-Mponda, Mzee Emmanuel Muganda)

7 comments:

Subi said...

Hongera na heri nyingi sana kwake Bw. Che-Mponda kwa kuadhimisha Jubilee ya kuzaliwa kwale. Ajaaliwe heri nyingi na afya njema katika maisha haya.

Anonymous said...

Mungu ampe miaka mingine zaidi na zaidi. Lakini Dada mbona umejipendelea picha umeweka yako na wazazzi? za mdogo wako mbona hukuweka wa maryland??.

SIMON KITURURU said...

Happy Birthday Dr. Aleck Che-Mponda!

Anonymous said...

Happy 75th Birthday Mzee!

emu-three said...

Happy birthday, tunamuombea mwenyezimungu ampe maisha marefu ya afya tele

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Happy birthday Dr. Chemponda. UBARIKIWE

Anonymous said...

Hongera na birthday ya baba!! hiyo nyumba ya mdogo wako mimi ndio imeninyaka macho yangu kama sitakukwazwa naomba more picha za nyumba nje na ndani wengine tujifunze maisha please!