Monday, August 23, 2010

Tiger Woods na Mke Wake Wameachana

Tiger Woods na mke wake mzungu Elin Nordegren wameachana. Habari zimetangazwa rasmi leo. Ndoa ya Tiger ilianza kuvunjika mara mke wake alivyogundua anatembea na mzungu mwingine. Haikuishia hapo....iligundulika kuwa Tiger katembea na majike wa kizungu zaidi ya 14 wakati wa ndoa yao. Wote wazungu wenye nywele blonde. Hata siku moja hajaonekana na mwanamke mweusi.

Haya Elin anarudi kwao Sweden na donge nono. Tiger ni billionaire na walizaa watoto wawili moja ana miaka mitatu mwingine wa kiume ana mwaka moja tu.

Pole zao naona mapenzi yakawa chungu.

Mnaweza kusoma habari zaidi hapa:

http://www.golf.com/golf/tours_news/article/0,28136,2012613,00.html

2 comments:

Anonymous said...

A lion wouldn't cheat but a Tiger wood.

Anonymous said...

Nimesoma sana hii comment ya aina ya wanawake aliotembea nao kuwa si weusi. Je mnamuhisi kuwa ni mbaguzi au anawaona wanawkw weusi kama dada zake tu? Let colour not bother us so much!!! It is his choice by the way would it have made him a less sinner had he a panorama?