Friday, June 17, 2011

Utapeli - Eti Mikopo Nafuu

Wadau,

Bila shaka mmezoea kupokea email kutoka kwa matapeli wengi wao wanatoka Nigeria. Hebu ona huyo jamaa alivyotia barua katika Google Translate eti atapeli watu East Africa, halafu kampuni halali haitumii anwani ya gmail, yahoo, hotmail etc.

*****************************************************

Hello,

Inakuja mkopo nafuu, mikopo kwa riba ya 3% kiwango, Time kuja
kuwa huru kutokana na fedha matatizo yako / Madeni, Je, wamekuwa katika zaidi
matatizo kwa sababu ya wakopeshaji bandia? lakini wakati huu utapata required yako
mkopo kufanya free yako kutoka madeni yako na kufikia ndoto yako ya kuwa
bure tena kutoka kwa matatizo yako, mtu yeyote nia lazima kujaza required
fomu kwa ajili ya mkopo kupitia Email: Tarehe jacksonloancompany2008@gmail.com Borrower ya zinahitajika kwa ajili ya mkopo.

Jina Kamili :...................................
Nchi :........................................
hali :...........................
Kazi :.......................
Namba ya Simu :............................
Kiasi cha mkopo Inahitajika :........................
Duration mkopo :...............................

Matumaini ya kusikia kutoka kwako na Mungu akubariki.

Frement Jackson

7 comments:

Rik Kilasi said...

Duh hawa jamaa wako bize yaani wamelazimika kutafsiri ipo siku watatoa kwa kilugha kabisa lol.Ni imani yangu wadau wengi wanajua hizi scam maana mie inbox yangu napata 100 plus ya hizi barua za wizi kila siku sijui wenzangu! Anyways habari ndio hii mwenye macho.............ona!

Anonymous said...

Chemi juzi ulikuja na ile ya kusapoti United States of Africa. Nikataka kukuuliza kwa jinsi unavyowachukia wa-Nigeria na wa-kenya, jee vipi nao wawemo katika united states of Africa? Lakini nikaona nisipoteze muda.
Hivi katika hiyo scam kuna uthibitisho gani kama huyo muhusika ni m-Nigeria?

Kama wewe unadhania kwamba wa-Nigeria wote ni wezi/matapeli, jee wewe una tofauti gani na wale rednecks wanaodhania kwamba watu weusi wote ni wavivu na hawana akili?

Anonymous said...

Anoni wa17/6 3.04pm hata mimi naona hao ni Wanigeria kwani Chemi anaishi Amerika kwahiyo kwake ni rahisi kujua matapeli wa kiafrika. Mimi naishi Europe hawa watu wako kila nchi na wanatengeneza mpaka pasi za bandia ambayo ukiingia nayo bila cu iscan utafikiri ni ya ukweli mimi nashangaa Tanzania mlivyo wakaribisha

Anonymous said...

Mtu yeyote anayewatetea wa Nigeria kuhusiana na utapeli ana matatizo fulani.

Wa-Nigeria ni taifa namba moja kwa utapeli. Hii haina maana kuwa hakuna wa Nigeria wazuri.

Kuna watumishi wa Mungu wazuri sana kama Nabii T.B. Joshua.

Matapeli wa kinaigeria ni wengi sana karibu sehemu sehemu zote duniani.

Dada Chemi uko sawa kabisa!

Chemi Che-Mponda said...

Mdau wa 3:04PM, lini nimewahi kusema nachukia waNigeria na WaKenya wote? Moja wao akifanya maovu ni kosa kuandika? Pia hapa USA hao matapeli wanaitwa 'Nigerians', siyo Africans. Wachache wameharibu jina la nchi. Siku hizi maana ya Nigeria ni sawa na Utapeli.

Anonymous said...

chemi,its ok nafikiri kla individual ana haki ya kumpenda au kutopenda mtu mwingine (like or dislike )
wanigeria hawana sifa nzuri.
Binafsi sidhani kama kna mnigeria mwenye nia njema ktk chochote kile.
Ni suala la nafasi na wakatoi tu.mnigeria (kwa mujibu study ) ilyofanyika hapa marekanai ,wanasema
popte pale alipo ,ktk field yoyote ile ni suala la wakati na nafasi.akipata hivyo vitu viwiwli,anagalia atakachotenda hapo
ni hatari. Zaidi ni kujihadhari na wanigeria kabisa. wale wanajiita eti watumishi wa mungu .Mtumishsi wa Mungu kutoka nigeria akikuambia kushoto kwangu ni njia ya uzima (supposedly mbiguni) na kulia kwangu ni hell,wanasema wachunguzi wa mambo kwamba ,its highly likely kwamba the opposite of that is true.
mdau hapa

Anonymous said...

Nigeria unaweza kupata shahada na stahada na digrii za utapeli. Utapeli ni biashara kubwa sana huko.