Monday, June 20, 2011

Wakala wa Ndege za SerikaliKuna mabanda kadhaa mnazi mmoja kwenye maadhimisho ya Wiki la Utumishi wa Umma 2011. Picha ni za banda la WAKALA WA NDEGE ZA SERIKALI. Zimeletwa na Mdau, Francis Nasson Tumbo wa Tanzania Government Flight Agency.

1 comment:

emu-three said...

Twashukuru kwa taarifa hzi maridhawa, najiona kama nipo hapo Bandani!