Saturday, June 18, 2011

Msomi Afanya Fuja Kwenye Treni New YorkCheki huyo dada mwenye asili ya kihindi anayodai ni msomi kondakta wa treni alivyomwomba aache kutumia lugha ya matusi akiwa kwenye simu yake ya mkononi! Watu wanauliza kama huyo kondakta angekuwa mzungu anejibiwa hivyo. Mwisho watu wanakubai kuwa pamoja na usomi wa huyo dada hana akili za kuwa na watu hadaharani.

1 comment:

Anonymous said...

Dah! Msomi gani huyo! Kasoma community college!