Wednesday, June 01, 2011

Sisi Wazima! - Vimbunga Massachusetts

Asanteni wadau walionipigia simu kunijulia hali. Sisi ni wazima na Mungu yu mwema hatujapigwa na kimbunga hapa mjini Boston/Cambridge. Maeneo ya Springfield, Westfield, Massachusetts yamepigwa vibaya! Magari yamepinduka, nyumba kadhaa zimebomolewa na nyumba kadhaa hazina umeme. Bado tuko chini ya Tornado Watch mpaka saa 5 (11:00PM). Nimepiga ka kideo muone hali ilivyokuwa kwenye saa 3:30 (9:30PM). Nimepiga kutoka kwenye back porch ya fleti yangu.

2 comments:

Anonymous said...

Poleni sana kwa vimbunga.

Tuwekee picha tuone hali ilivyo huko.

Anonymous said...

dada mdogo mungu ni mwema kama mko salama kimbunga kimewanusuru tumshukuru yesu wenzetu wanashukuru alihamdulilah

MAMA BISHANGA
CLEVERLAND
OHIO