Wednesday, December 21, 2011

Bank of America Wapigwa Faini Shauri ya Ubaguzi

Watu walijua kuwa Bank of America wanabagua weusi na waspanish, katika kugawa mikopo. Mweusi unakuwa na sifa zote za kupata mkopo, wakti mwingine unakuwa na sifa kumzidi mzungu lakini unanyimwa shauri ya rangi ya ngozi yako! Wakoe! Walipe hiyo faini!  Washenzi sana, hata haya hawana!  Lakini hayo mambo yapo tangu zamani, mweusi ukipata mkopo utaona interest rate ni kubwa kuliko ya mzungu!

*****************************************

(CNN)  Bank of America will pay $335 million to settle federal claims that its Countrywide unit discriminated against minority borrowers, Justice Department officials announced.


Attorney General Eric Holder said a federal probe found discrimination against 200,000 qualified African-American and Hispanic borrowers from 2004 to 2008 during the height of the housing market boom. He said minority borrowers who qualified for prime loans were steered into higher interest rate subprime loans.

Bank of America purchased Countrywide in 2008 for $4 billion in a deal that made the bank the nation's leading mortgage lender at the time. The deal closed in July 2008 ahead of the meltdown in financial markets that fall.

Mnaweza kusoma habari kamili hapa:

http://money.cnn.com/2011/12/21/news/companies/bank_america_settlement/index.htm?hpt=hp_t3

1 comment:

Anonymous said...

uNAWEZA KUONYESHA HASIRA ZAKO BILA KUTUMIA LUGHA YA MSHENZI DADA YANGU,JITAHIDI NAIPENDA BLOG YAKO LAKINI HISIA KUPITA KIASI SI VIZURI.hUO NI MTAZAMO WANGU LAKINI.KEEP IT UP GIVING US THE NEWS.