Saturday, December 31, 2011

Heri ya Mwaka Mpya! Happy New Year - 2012


Tunaaga mwaka 2011.  Tusiwasahau wale walioaga dunia mwaka huu. Tushukuru Mungu kwamba ametubariki kuweza kuona mwaka mpya!

Nawatakia wadau wote heri ya mwaka mpya!  Happy New Year!

1 comment:

Malkiory Matiya said...

Heri na kwako pia Chemi. Ubarikiwe sana kwa ushiriano ulionesha mwaka uliopita.