Tuesday, November 04, 2008

Bado Kidogo


Bado kidogo tutajua matokeo ya uchaguzi 2008! Baada ya masaa mawili tutaanza kusika matokeo ya kura zilizopigwa katika majimbo mbalimbali ya Marekani.

Natabiri kuwa Obama atashinda kwa kura nyingi sana.
Mungu azidi kumlinda Obama na familia yake. Kuna wazungu wenye roho za kibaguzi ambao wanasema kuwa wamepania kumwua kabla ya January 20, 2009 kama atashinda urais.

No comments: