Monday, November 24, 2008

Obama, hii mitindo ya Nywele ni Marufuku!


Asante mdau D.C. wa Dar kwa kuniletea hii.

2 comments:

Anonymous said...

chemi ,mimi nina swali jamani kuhusu uraia wa Obama,Anold(california gov),Collin powell na Bush.
Jamani naomba kuuliza kwa sababu inanichanganya hapa
Obama - wakenya wanasema (sio wote though) eti obama ni Mkenya .lakini mimi ktk tafuta zangu sijaona sehemu yoyote ile inasema Obama ni mtu wa kenya kila source niliyopitia inasema kuwa Obama ni mmarekani ,alizaliwa marekani na anauraia wa marekani sasa sijui inawezekana vipi kwa mtu ambaye siyo mmarekani kuruhusiwa kugombea urais? sifahamu siasa za huko naomba mwenye jibu tafadhali anifahamishe
The same goes to Anold ,hivi yeye ni mu-austria (yaani raia wa austria) au ni raia wa marekani,collin powell na yeye ni mkaribiani au mmarekani?
tafadhali mwenye kufahamu naomba anifahamishe. what is it that is politically correct and acceptable with respect to somebody's uraia
asante

Anonymous said...

Naona Rasta zinamfaa.