Tuesday, November 04, 2008

Kaka Yake ObamaHuyu ni Malik Obama (mwenye miwani), kaka yake Senator Barack Obama ambaye leo jioni huenda akawa rais mteule wa Marekani. Malik ni mtoto wa mke mwingine wa mzee Barack H. Obama.

Hapa Marekani watu wanashangaa jinsi waafrika wanavyokuwa na wake wengi.
Ndugu wa Obama wamekusanyika huko kwao Kogelo, Kenya kusikia matokeo ya uchaguzi.

No comments: