Thursday, October 11, 2007

Bado Hajashiba!

Snoop Dogg na wembamba wake kamaliza fillet mignon, prime rib sijui. Bongo watu wangapi wangepata dishi hapo?

6 comments:

Anonymous said...

SASA HIYO NDO SAWASAWA NA KILO NGAPI YA KUCHOMA LABDA KWA HUKU EMBU NIFAFANULIE JAMNI MPENZI WANGU NAKUTAKIA EID NJEMA

Anonymous said...

Sijui ndo kilo nne au tano! lakini kila kitu hela yako. Hata Bongo uikwa na noti unaweza kula hivyo!

Anonymous said...

The reason why Snoop never gains weight is 'cause he be smokin' that piff lol
Prime Rib is great,I urge y'all to save up and treat yourself and your friends to a serving of the dish...

Anonymous said...

i believe chemi unamaliza ile peke yako bila wasi!!u r big mama

Chemi Che-Mponda said...

LOL! Sijui kama ningeweza kumaliza nyama yote hiyo. Lazima ningeanza kusikia kichefuchefu baada ya muda.

Lakini watu kama hawa wana kula halafu wanafungasha kwenye Doggy Bag. Yaani wanamplekea mbwa nyumbani. Wengine wanaenda kula wao wenyewe.

Simon Kitururu said...

Kwa mtazamo wangu, bongo ndio kuna mabingwa wa kula chakula kikubwa!
Nishafika sehemu ambazo hata ugali unaoletewa ukiwa pekee unakushtua roho.Maana yake ni mkubwa sana.
Kwa hiyo , wala isinge kuwa taabu kwa watu kibao kumaliza hiyo nyama alayo snoop.

Kwenye mabaa ndio kabisaa! Hukawii kusikia mko wawili halafu mtu kaagiza mguu mzima wa mbuzi.

Ndani ya bongo , ni Dar es Salaam ndio nimeona size ya ugali au sahani ya msosi kwa mtu mmoja ni ndogo ukilinganisha na mikoani. Hiyo ni kwa mtazamo wangu, mwingine anaweza kubisha.