Tuesday, October 09, 2007

Picha Zaidi za Bongoland II

Baadhi ya Crew wakipozi na Mmasai. Kutoka kushoto, Chris Audet, Mmasai, Sam Fischer na Rajabu kutoka Sofia Records.

Stelingi wa Bongoland II, Peter Omari, akipozi na Cast na Crew. Kati Kati ni Josiah Kibira, aliyevaa sharti nyeupe ni Gervas Kasiga, aliyesaidia kwenye mambo ya Casting.

Josiah Kibira akitoa maelekezo kwa Mzee Kipara anayecheza kama 'Imam'
Ahmed Olotu (aliyekaa) kwenye scene Manzese. Hapo tulikuwa na wanafunzi kutoka UCLA.
Josiah Kibira akipozi na baadhi ya waigizaji. Aliyevaa Sharti nyeupe ni Hashim aliyecheza kama Inspekta Wingo kwenye sinema, 'Simu ya Kifo'


Scene inapigwa maeneo ya MwananyamalaBi Hindu aliyecheza kama 'Mama Mwenye Nyumba'


Wakazi wa eneo la Mwananyamala wafaidi sinema ya bure


Sepi! Kumbe unaishi hapa!
Josiah Kibira akiwa na Slate mwenyewe!


Kwa habari zaidi za sinema ya Bongoland II nenda:


1 comment:

Anonymous said...

Dada Chemi kwani huyo mmasai hana jina????Ingekuwa mzaramo ungesema mzaramo???Ungefanya bidii ya kutafuta jina lake kama ulivyofanya ya hao wengine.Na kama ni jinsi anavyoonekana hao wazungu nao ungesema mzungu.