Friday, October 05, 2007

Sherehe ya Iddi Boston


"Assalam Alleykum Warehma-tul Llahi Wabaraka-tuh"

Tumshukuru M/Mungu (Allah) kwa kutuwezesha kufunga Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan, Insaallah Atujaalie tuumalize kwa rehma na kusherehekea Eidul- El-Fitr, Amen!

Kwaniaba ya ndugu zetu Watanzania wanawake na wanaume wa Boston, MA. Wanafuraha na heshima ya kawaalika Ndugu na marafiki wote kuhudhuria na kusherehekea siku kuu ya Eidul-Mubarak itakayofanyika Boston, siku ya Jumamosi tarehe 10/13/07 @ 6pm to 12am


Address: BROMLEY HALL
10 LAMARTINE STREET
JAMAICA PLAIN MA 02130

Kwa maelekezo zaidi tafadhali wasiliana # 617-407-3171, 617-407-0723, 617-953-5375, 617-935-5395 or 781-608-0665.

"Asssalam-Alleykum"

1 comment:

Simon Kitururu said...

Samahani, natoka nje ya somo!

Njoo tumalizie kujadili kipengele, ili tuende kwenye hatua nyingine ya kuboresha wanajumuiya wa jumuiya ya Watanzania wanao tembelea au wanao blogi.

Tembelea hapa : http://blogutanzania.blogspot.com/
ilia tumalize kujazia dondoo ili tu anze na kipengele kingine.
Idumu JUMUWATA!