Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Wednesday, October 10, 2007
Kapewa Kiasi Gani?
Nimepata hii picha kwa e-mail. Nakubaliana na aliyenitumia. Hivi Rais Kikwete anapewa kiasi gani cha pesa hapo. Naona anazipokea na Thumbs up.
1 comment:
Anonymous
said...
AHAHAHA DUH POLE RAIS WETU ILA HUNA MAKOSA KOSA AU UPUMBAVU NI WA HAO EXIM BANK DUH KUMBE HATA WAZUNGU NI WAPUMBAVU KIASI HIKI?HAWWEZI HATA KULINGANISHA FIGURE DUH HI KALI KIKWETE NAYE HAKUIONA NINI? KWA VILE ILIKUWA IMEGEUZIWA KWENYE CAMERA..LABDA ANGEIONA INGEKUWA IMEELEKEA UPANDE WAKE AU NASEMA DADA CHEMI MPENZI.
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.

Post a Comment