Tuesday, December 04, 2007

Mwalimu Gibbons arejea Uingereza!


Mwalimu Gibbons na watoto wake


Mwalimu Gillian Gibbons (54), yuko Uingereza na familia yake. Alirejea leo asubuhi na ndege ya Emirates.
Mwalimu Gibbons, alisifia waSudani na alisema yaliyompata yasiwakatishe moyo wengine kwenda huko. Anasema hakujua nini inatokea duniani na jinsi kesi yake ilivyogusa wengi maana alifungwa peke yake (Solitary). Baadaye kuna mtu alimdokeza kuwa kesi imekuwa kubwa.

Kwa sasa anataka kupumzika na kushrekea Christmas na familia yake. Halafu atatafuta kazi.

Imegundulika kuwa chanzo cha matatizo yake ni visa vya dada moja aliyekuwa anafanya kazi kwenye shule hiyo, Unity High School. Sarah Khawad, alikuwa karani kwenye hiyo shule. Alifukuzwa kazi Novemba na aliahidi kuifunga hiyo shule ili kulipiza kisasi!
Mweza Septemba Khawad aliwaomba wazazi wa watoto wa darasa la Mwalimu Gibbons (darasa la pil) kwenda polisi kumshitaki. Walikataa.

Khawad ndo aliwaambia polisi kuhusu darasa la Mwalimu Gibbons kuita mdoli, Mohamed na kusababisha matatizo yote. Unity High School imefungwa kwa muda.

Kwa habari zaidi someni:



5 comments:

Anonymous said...

HIVI DA CHEMI ILE FILAMU YA BONGOLAND II TUTAIPATA WAPI HAPA DAR? AU NI KWA AJILI YA WAISHIO NJE TUU?

KINU.

Chemi Che-Mponda said...

Filamu ya Bongoland II bado haijatoka. Bado iko kwenye Post-editing process.

Anonymous said...

Huyo Sarah! Kama ni mwislamu safi mbona kavaa balusi kifungo wazi na hajafunika kichwa?

Anonymous said...

The fact that Gillian Gibbons was arrested over this whole teddy bear incident is beyond me. But I think it shows how impassioned people can become over their beliefs (regardless of if those beliefs are right or wrong). I think that’s what’s so infuriating and brilliantly scary about this situation.

As a Christian who hears the name of Jesus mocked, cursed, trampled upon, and made fun of almost every day of the week, I should get as blindly irate and angry as these people did, but I don’t. Why? To be honest, I don’t know. Maybe because I understand what Christ said when He told His followers (and future followers) that people would hate us for His names’ sake. Maybe part of my peace is because I’ve grown accustomed to the belittlement and hatred cast towards Christians in modern society. I don’t know what it is exactly. All I know is that Jesus said that we should love those who persecute us. He also said that vengeance is His. God will repay for the wrong that is done against His children. I just have to continue to stand up in love for what I know is right–even if I stand alone.

But anyway, I’m so thankful that Gillian came out of this craziness in good health & good spirits. In the great words of Gordon Brown, “Common sense has prevailed.” And in modern society, that’s a marvel. Common sense ain’t so common anymore.

Egidio Ndabagoye said...

Anon December 04, 2007 9:09 AM,
unakumbuka msemo fulani alisema mwanafalsafa Karl Marx kuhusu dini?.