Thursday, January 03, 2008

Balozi Mwambulukutu bado ana hali mbaya

Habari kutoka Afrika Kusini zinasema kuwa Balozi Emmanuel Mwambulukutu, aliyepigwa na majambazi wiki iliyopita bado ana hali mbaya. Amelazwa kwenye wodi ya wagonjwa mahututi na ana saidiwa kupumua kwa bomba. Majambazi hao walimpiga kichwani na kumjeruhi vibaya.

Naomba wadau mkumbuke katika sala zenu ziwe za kikristo, za kiislam, za kiyehudi, za kihindu. Amen.

Kwa habari zaidi someni:

http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2008/01/01/105418.html

http://www.iol.co.za/index.php?set_id=1&click_id=13&art_id=nw20080103094816302C531872

http://www.sabcnews.com/south_africa/general/0,2172,161808,00.html

http://www.int.iol.co.za/index.php?set_id=1&click_id=15&art_id=vn20071231060422979C847037

1 comment:

Anonymous said...

Pole sana Mzee Mwambulukutu. Sasa huko S.A. hakuna ulinzi kwa mabalozi?