Tuesday, October 20, 2009

Alogwa kwa Kutembea na Mke wa Mtu!


Kumbe huko Zambia kuna dawa kali za kienyeji. Huyo jamaa alitembea na mke wa mtu huko Zambia. Kafumaniwa na mume wa mwanamke wake. Huyo mume kaenda kumfanyia dawa kali. Jamaa kafaa baada ya ume wake kuvimba kuwa saizi ya paja! Bofya picha kusoma habari kamili. (Picha kutoka Michuzi Blog)

2 comments:

Anonymous said...

Na kuna ingine, uboo unaisnyaaaa halafu inaanguka unabakia puepe lakini uko hai.

Anonymous said...

Duh! Acheni mchezo wa kuiba. Najua vya kuiba vitamu lakini siku hizi mmm!