Tuesday, December 01, 2009

Je ni Maxwell, au Mr. Nice?

Nimeona hii picha ya mwimbaji maarufu wa Marekani, Maxwell leo kwenye CNN.com. Hivi ni macho yangu au jamaa ana fanana na mwimbaji wa Bongo, Mr. Nice?

5 comments:

Anonymous said...

Wamefanana lakini Maxwell ni handsome zaidi. Mbona huyo Mr. Nice wetu anajiita Nice lakini hajua maana ya Nice. Ana roho mbaya kijana huyo!

Anonymous said...

Mhh Da Chemi kunananisha sura za watu hujui...mmh labda mihogo ya jang'ombe!

Anonymous said...

Unahitaji miwani mpya.

Anonymous said...

Doh! Kama wamefanana huyo Maxwell ni mzuri mara mia ya Mr. Nice.

Anonymous said...

Kuna features wamefanana bwana kwenye hii picha