Wednesday, December 02, 2009

Kumbe Tiger Woods Mzinzi!

(Tiger Woods Beaten)
Hii picha inazunguka kwenye e-mails leo.

Duh! Leo Tiger Woods amekiri kuwa katembea nje ya ndoa yake. Na si yule Rachel tu, mwingine kajitokeza na ana ushahidi! Hivi ubongo wa mwanaume unakuwa kwenye dhakari nini? Leo kuna habari kuwa Tiger na mke wake wanakwenda kwenye counseling!


Kwa habari zaidi someni:


http://www.sfgate.com/cgi-bin/blogs/abraham/detail?entry_id=52729

http://www.suntimes.com/entertainment/zwecker/1916410,zwecker-tiger-woods-marriage-elin-prenup-120209.article

http://www.nydailynews.com/gossip/2009/12/02/2009-12-02_tiger_woods_offers_profound_aplogy_for_transgressions_amid_rumored_affairs_with_.html

10 comments:

Anonymous said...

Elin, YOU GO GIRL! Now beat the crap out of his nasty ho's as well!

Anonymous said...

Mbavu sina! Pole sana Tiger. Umepigwa na mke wako mweupe kama karatasi.

Anonymous said...

Enhe na ubongo wa mwanamke uko kwenye kisimi!

Anonymous said...

We DaChemi inaelekea ni mwanaharakati au ulishaumizwa sana lakini inasemekana Wanaume wote mama yao mmoja hata baba zetu, ndio hapo ninapochoka mie kama halijakufika basi jua liko njiani au linaendelea hujui

Anonymous said...

kila mwanamke anapenda kudhania kuwa muhugo wake wa jang'ombe anaula peke yake. Ukweli ni kwamba kuna wanawake ambao ni waaminifu kwenye ndoa, au mahusiano ya kimapenzi na wapo wanawake ambao siyo waaminifu.
Na pia ni kweli kwamba hakuna mwanamme hata mmoja ambaye ni mwaminifu kwenye ndoa au mahusiano ya kimapenzi. Mwanamme yoyote akidhania kwamba hatokamatwa basi atafanya uasherati wake, na akidhania kuna hatari ya kukamatwa basi hatofanya uasherati na kujifanya kwamba, eti ni uaminifu wake ndiyo uliomkataza kufanya uovu.

Mwanamke mwenye bahati kuliko wote ni yule ambaye hajamkamata mwanamme wake katika uovu huu. Hata wewe dada unayesoma sasa hivi, najua moyo wako unakupa moyo kwamba mwanamme wako wewe ni "exceptional" na hana mwanamke mwingine. Stop believing your own lies.

He cheats

Anonymous said...

I am not condoning what Tiger did but I am mad at the way the media has treated this guy. Guys, it is imperative to understand that we are talking about infedility and not a felony as many people in here and all over the world would like it to be. As old sayings goes, what won't kill you makes you stronger, it is my hope this incidents will be a poignant lesson to Tiger. In addition,his transgression behavior will also enable him to become a better person.

We are talking about a guy who is filthy rich and handsome and many women in this world are anxiously looking for the oppurtunity to sleep with him! The kind of temptations which Tiger faces daily basis are off the hook .

Anonymous said...

Ndio maana mimi wala sitaki wanaume tena, ni kama they were born to hurt women, nimejitwalia mwanamke mwenzangu and I'm loving every moment with her, sijui kwanini nilipoteza muda wangu kuridhisha wanaume, mwanamke ana mapenzi pia kwa mwanamke mwenzake tena moto kishenzi.

Anonymous said...

Wewe Chemi hujui utamu wa wanawake.

Anonymous said...

Tatizo ni kwa watu kupingana na asili yetu....binadamu ni sehemu ya wanyama, na wanyama wote hawana hii tabia ya dume moja, jike moja - ni dume moja, majike ya kumwaga. Huu utaratibu wa wazungu (baadhi ya dini za kigeni) wa mme mmoja, mke mmoja hauendani na tamaduni na asili yetu. Ndo maana wanaume wengi watajifanya kuwa wana mke mmoja lakini wanao wake wasio rasmi kibao. Hata idadi ya watu inaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume...si coincidence....kiutaratibu DUME MOJA, MAJIKE MENGI...full stop!

Anonymous said...

mume mmoja wanawake wengi maanake nini? hiyo picha hamuioni hapo chini inayohusu UKIMWI? umalaya tuu....mke wa TIGER aachane naye ajichukulie mamillion yake ....