Monday, December 07, 2009

Sindimba na Peter Kayele Kapanga

6 comments:

Anonymous said...

da chemi nimeangalia hii video nikajiona i like this dude yuko sexy.nawaza atakuwa amejaliwa downstairs.

Anonymous said...

Watu wengine! Lakini si ndo kazi ya ngoma kupimana kingono! Maviuno tele.

Anonymous said...

Peter kapiga ngoma vizuri ila sauti hapana kwakweli angeangalia vizuri video za Sindimba angeweza kufuata rythm ya sindimba vizuri otherwise amejitahidi

ex-shaaban robert

Anonymous said...

Jamaa nadhani anatafuta ulaji tu si kingine kwani mrindimo wa sindimba auendani kabisa na alivyoupiga na alivyoimba na jinsi alivyoianza hiyo ngoma ushauri ni kwamba uwezi kuipiga sindimba ukiwa peke yako na ngoma kubwa bila kuwa na ile ndogo iitwayo chapua inayopigwa na vijiti pamoja na marimba

Anonymous said...

Anon wa 8:37 am Jamaa kwa vyovyote anajua anafanya nini mbali na kwamba huwezi kupiga sindimba Peke yako lakini ameweza kuja na common sound ya sindimba ambayo vyombo vyote vinaeleweka na kusikika na amepiga katika frre flow yake mwenyewe na kuongeza ufundi wa kuzaliwa. lini tutakaa chini na kukubali umeona mtu mmoja anapiga sindimba bado unalalamika vyombo ambavyo havipo huoni kama hiyo ngoma ni moja na very simlpe that's true talent aliyonayo kubali mzee.

Anonymous said...

Anon wa 8:37 am Jamaa kwa vyovyote anajua anafanya nini mbali na kwamba huwezi kupiga sindimba Peke yako lakini ameweza kuja na common sound ya sindimba ambayo vyombo vyote vinaeleweka na kusikika na amepiga katika free flow yake mwenyewe na kuongeza ufundi wa kuzaliwa. lini tutakaa chini na kukubali umeona mtu mmoja anapiga sindimba bado unalalamika vyombo ambavyo havipo huoni kama hiyo ngoma ni moja na very simple that's true talent aliyonayo kubali mzee.