Thursday, December 03, 2009

Christmas Party Milton Keynes


6 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Kweli Krismasi imepoteza maana kabisa. Eti tangazo la pati ya Krismasi lina picha ya binti akiwa nusu-uchi! Kinachosherehekewa hapo ni nini? Ni kuzaliwa kwa Masiya au?

Chemi Che-Mponda said...

Na mimi karibu nisibandike hiyo tangazo kwa sababu ya hiyo picha inayodhalilisha akina mama. Ila nikaona ni bora watu wakajue hiyo party ipo. Next time nawaomba watumie picha zenye heshima.

Anonymous said...

Wewe Chem, kama ulijua pich hiyo haina hadhi ya kuwekwa hapo kwa nini umeiweka dada? Tena hiyo picha na tangazo lenyewe linadhalilisha sana maana ya krismas. Ulimwenguni kote siku hizi tunasikia nyimbo za majilio wewe unatuwekea tangazo la party yenye picha ya mdada aliye uchi kabisa kwani imebaki nini hapo maana mavituzi yote yanaonekana licha ya kuonekana kuna kuficha .

Chem, una mambo mema na mzuri sana blogini kwako.Jihadhali na kupotosha wasomaji kwa kutuwekea vitu visivyoleta maana ya kile unachokishabikia. Kweli kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo kuwekewe picha kama hiyo???

Kina dada mpo???Chem leo katupeleka kwenye matamanio ya uzinifu.Hahahahahaaaaaaaa kweli hiyo kali na haifai dada.

Chemi Che-Mponda said...

Natumaini wlioandaa hiyo sherehe wamepata ujumbe. Na huko Uingereza kuna baridi msimu huu. Mtu utavaa bikini kweli?

Godfather said...

Hiyo ad imeniput off. Sasa kuweka msichana karibu uchi manake ni? Tutamwona huko? DISGUSTING! Vijana hawaelewi maan y7a Christmas.

Anonymous said...

Tangazo inasema Dress Code applies. Ni BIKINI?