Thursday, December 24, 2009

Merry Christmas!


Nawatakia Wadau Wote sikukuu njema ya Krimasi! Hapa Marekani tunafaidi baridi, theluji na barafu!
MERRY CHRISTMAS!

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Chrismas yabwina na veve dada!

Anonymous said...

Merry Christmas to you too Da Chemi!

Simon Kitururu said...

Heri ya Krismasi kwako pia Dada!

Mzee wa Changamoto said...

Da Chemi
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako

MICHUZI BLOG said...

Asante Da'Chemi kwa salamu murua za Xmas. Wewe pia tunakutakia heri katika siku hii tukufu na hongera kwa kazi nzuri ya kutuhabarisha mengi tu. kila siku napita hapa kwako japo sitoi maoni.

Shy-Rose said...

merry xmas dada chemi

Anonymous said...

Merry Christmas Da Chemi!

Anonymous said...

jamani da chemi mnafaidi au inawafaidi manake nasikia no kutoka nje sivyo utaganda by the way nakutakia krimasi njema na mwaka mpya wenye raha