Wednesday, December 02, 2009

Siku ya UKIMWI Duniani - World AIDS Day


Leo ni siku ya UKIMWI Duniani. Tukumbuke kuwa huo ugonjwa hatari bado upo na tuendelee na jitihada za kuzuia maambukizo. Mfano tuwe waaminifu kwa wapenzi/mume/mke wetu. Achana na tabia za uzinzi! Tumieni KONDOMU!
Pia tukumbuke waliokufa shauri ya ugonjwa wa UKIMWI na tuwaombee walioathirika na HIV/AIDS. Na bila kusahau tuombe kuwa TIBA ya kudumu na chanjo ipatikane haraka.
Kwa habari zaidi someni:

3 comments:

Anonymous said...

Hizo picha Da Chemi!!! Lakini kweli inabidi watu washtuke. Huo ugonjwa ni hatari na tumezidi kupenda ngono haramu!

Anonymous said...

Mmmmmmmmmm Chem una vituko mama!! sawa kabisa ujumbe umefika kwa watu ila hivyo vipicha umevisoooooooo hasa dada.

Anonymous said...

Chem wewe!! acha fujo mlimbwende mbona unatuzingua na picha hizo? Du sijui umezifuma wapi hizo/hukupata zingine ila hizo tu mama?