Thursday, December 31, 2009

Tanzia - Mzee Rashidi Mfaume Kawawa


Mzee Rashidi Mfaume Kawawa
1926-2009

Simba wa Vita, Mzee Rashidi Mfaume Kawawa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Alikuwa mwanasiasa mashuhuri katika historia ya Tanzania. Pia alikuwa mcheza sinema, aliigiza katika sinema Muhogo Mchungu.
Mola ailaze roho yake mahala pema peponi. Amina.
Kwa Habari zaidi Tembelea Michuzi Blog:

No comments: