Sunday, April 04, 2010

Heri ya Pasaka! Happy Easter!Wadau, waKristo duniani pote leo wanasherekea siku ya kufufuka Bwana Yesu Kristo (Pasaka). Pia kwa hapa Marekani, ni siku ambayo Sungura wa Pasaka (Easter Bunny) anapita na kugaia watoto mayai yaliochemeshwa na kupakwa rangi, na pia mayai ya chocolate.

Pasaka Njema! Happy Easter!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Heri ya pasaka na veve dada na wangi woha!