Saturday, April 10, 2010

Owino Apata Shahada ya Uzamili wa Sheria za Kimataifa

Natoa Pongezi kwa Kaka Maina Ang'iela Owino, Dada Shose Susa Katende na Rujama Chisumo, waliopata Shadaha zao katika fani mbalimbali kutoka chuo Kikuu cha Oxford Brookes huko U.K. . Kaka Owino ni mwenyekiti wa CCM huko U.K.Kati ya wahitimu wa sheria za kimataifa Oxford Brookes University siku ya Ijumaa 4/9/10....Maina Ang'iela Owino ( Mwenyekiti wa CCM UK) - LLM International Trade and Commercial Laws Shose Susa Katende (Advocate) -LLM International Human Rights Laws Rujama Chisumo (Mwanasheria Wizara ya Fedha TZ) -LLM International Economic Laws.

1 comment:

Anonymous said...

Jamani Shose mdogo wangu hongera saaana.
Kweli palipo na nia pana njia!

Am so happy for you and God bless.

Hongera pia kwa Owino na Rujama.

Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote!

Tanyo