Wednesday, April 28, 2010

Maangamizi the Ancient OneWadau hebu mcheki Prof. Amandina Lihamba, Barbara O, Bibi Mwanajuma Ali Hassan, Mimi, Mona Mwakalinga, marehemu Mwalimu Kisaka A. Kisaka, Dada Mhando, Stumai Halili, Mary Chibwana, Waigwa Wachira na wengine katika sinema Maangamizi the Ancient.

Maangamizi the Ancient One ni sinema pekee kutoka Tanzania iliyopelekwa katika mashindano ya Oscars. Sinema iliigwa Bagamoyo, Arusha, na Morogoro mwaka 1994 na 1997.

4 comments:

Subi said...

Natamani ningeiona filamu nzima. Hizi dakika kumi zimenivutia sana. Huu ulikuwa uigizaji bora kabisa.

Anonymous said...

Asante sana kwa hii clip. Naona imetengenezwa na muundo tofauti na video za akina Kanumba na Ray.

Anonymous said...

Je yaweza patikana wapi filamu hii

Anonymous said...

Ama kweli wakina Ray na Kanumba wanaweza kujifunza hapo. Well made! Sinema zao kama homemade hata wanafunzi wa primary USA wanaweza kutengeneza nzuri zaidi. Seriously!