Thursday, August 26, 2010

Rushwa KilomberoKuna mdau ameleta picha hizi. Hebu mlioko huku mtupe habari zaidi za hiyo get ya huko Kilombero.

"Dada Chemi naomba utoe hii waone jinsi rushwa iko njenje gate la mali asili Kilombero River, hasahasa upande wa wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro."
Hiyo ni lory ni usafiri mbadala wa wilaya hiyo,hwa ni wafanyabiashara ambao ulazimika kutoa rushwa ili wasitoe pesa nyingi kwa ajili ya ushuru wa mazao kutoka wilaya hiyo,kwani gunia moja hulipia tshs 20,000/-na hyo alikuwa na gunia 10 za mpunga asingeweza kutoa laki mbili kwa hiyo alihonga 50,000/=na kuruhusiwa kupita nazo!"

4 comments:

Anonymous said...

Dah! Lakini wahurumie qanatafuta ada ya shule ya mtoto na hela ya kunywa chai!

Anonymous said...

Kila kitu mkao wa kula! Ndo maana hatuendelei!

Anonymous said...

Nawe uliyeleta picha unataka watu wafukuzwe kazi? Familia zao watakula nini? Rushwa ndo way of life Tanzania.

Anonymous said...

KILA MBUZI ANAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE.NYAMAZA