Thursday, February 10, 2011

Msiba New Hampshire na Tanzania -

Taarifa niliyopiata leo asubuhi kwa text kutoka kwa Ezekiel Luhigo inasema:

Steve Bubelwa Mutasa wa New Hampshire amefiwa na mama yake mzazi Tanzania.

Namba yake Steve ni 603 320 3220.


Pole sana Steve. Poleni familia ya Mutasa. Mungu Ailaze Roho Yake mahala pema mbinguni. AMEN.

* NITABANDIKA HABARI ZAIDI MARA NIKIPATA!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Pole sana kwa msiba. Na Mwenyezi Mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu. Marehemu astarehe kwa amani.Amina! Pamoja Daima.