Wednesday, February 02, 2011

Groundhog Atabiri Spring Itakuja Mapema

Punxsutawney Phil hakuona kivuli chake. Hivyo winter intaisha mapema! Haya mateso ya kupigwa na storm klila wiki yataisha. Asante Phil! Sasa wacha nitoke nijaribu ku-shovel snow na barafu kwenye njia ya wapita njia! Snowpocolypse itaisha!

******************************************************

Phil's official forecast as read February 2nd, 2011, at sunrise at Gobbler's Knob in Punxsutawney, PA:

Here Ye, Hear Ye, Hear Ye

Groundhog Day, February 2, 2011


Punxsutawney Phil was raised from his burrow
By the call of President Bill Deeley.
He greeted his handlers, Ben Hughes and John Griffiths.

After casting an inquisitive eye towards thousands of his faithful followers,
He proclaimed that the Steelers are going to the Super Bowl!

Back to the business at hand...
He surveyed his surroundings carefully and found that there was no shadow around,
So, an early spring it will be.

Kwa habari zaidi soma:

http://photos.masslive.com/republican/2011/02/john_griffiths.html

3 comments:

emu-three said...

Poleni sana na ubaridi...hapo ndipo Mungu anapoonyesha uwepo wake, huku bongo jua la kufa mtu, huko baridii ya kuganda..!

Anonymous said...

mmh!!ila imani kitu kibaya badala ya kumuomba mungu mnaamini huyu mdudu!! looh! nimeshangaa sana haya sie tukitaka mvua tunamuomba mungu na anashusha mvua mashambani mazao yanastawi kweli ukistaajabu ya Musa...

Anonymous said...

Kitoweo kizuri sana. Anajuaje kutabiri hali ya hewa?