Tuesday, February 01, 2011

Snow Imezidi Boston! Tumechoka!Yaani leo ni siku ya kwanza ya Februari. Tunapigwa na snow tena. Kesho tutapigwa tena. Ikiisha tutakuwa na karibu futi mbili na nusu ya snow! Hiyo ni juu ya ile snow ambayo ilianguka majuzi! Hatuna pakuiweka. Ni hatari kutembea na kuendesha magari shauri ya milima ya snow. Watu wameonywa kuwa ikianza kuyeyuka kutakuwa na mafuriko!

1 comment:

Anonymous said...

Tuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Snow ni theluji kwa Kiswahili.