Wednesday, September 07, 2011

Albwardy Investment Denies Bribe Allegations!

Albwardy Investment has issued a statement strongly denying accusations made by Wikileaks that it bribed our beloved President Jakaya Kikwete with Fancy Suits and Cash!Please click on photo to see a larger version!

2 comments:

Anonymous said...

So this a joke right? Lisa Pile has been living in Tanzania for years and only speaks the odd word of Swahili! Albwardy must think Tanzanians are idiots!

Anonymous said...

Mimi huwa siwatetei Marekani wala Wamagharibi kama ambavyo huwa nawaping WAPUMBAVU WA KIAFRIKA ambao wakati wanajiuza kwa Wazungu hudhani wataonekana ni Mali, na wanakuja kujigundua kuwa ni TAKATAKA siku wakigeukwa na Wazungu....


Hakuna Mmarekani MWENYE AKILI TIMAMU anaweza akafanya Ushirikiano na Rais kama KIKWETE UNLESS anataka kumtumia kwa dili zake binafsi za Kibiashara..... Na kwa ujinga "utaendela kujiona mali" hadi siku wakishafanikisha Malengo yao!!!!!!!!!!!!!!


NASIFU UJANJA WA WAZUNGU katika kufikia Malengo (hata plae inapohusisha Uovu - Maana hata sisi waafrika wenyewe uovu tunafanyiana sana); na NINALAANI SANA UPUMBAVU WA WAAFRIKA kujiona fahari tunaposiwa na wazungu pasipo kujua kwamba tunajiuza kwa bei ya kutupwa....


KIKWETE: Kukutana na wanamziki wa Marekani (ambao hata hawajawahi kupewa na nafasi ya kukutana na RAIS WAO); kunadaliwa midahalo ya kwenda kuongea kwenye vyuo vikuu (vingine uchwara tu); yeye ndo ajione Mali, Na sasa MWANAMUME KUNUNULIWA NGUO NA MWANAMME MWENZAKO........ Shame on ALL who support this Modern-day STUPIDITY!!!!!!!!!!!!!