Thursday, September 22, 2011

Tamasha la Kumuenzi Hayati Remmy OngalaAziza Machozi Ongala na mumewe Miael McGeachy, mzawa wa Jamaika, wakiongea na Urban Pulse na Freddy Macha kuhusu shughuli zao kuimarisha kumbukumbu na kazi za mwanamuziki Remmy Ongala aliyefariki Desemba 2010, mjini Dar es Salaam.
Mahojiano yalifanywa  katika Ubalozi wa Tanzania, London.


Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE Wakishirikiana na Freddy Macha

1 comment:

Anonymous said...

Duh!..., hapa Dr Remmy Ongala amefyatua photokopi moja kali sana.
Dada nakutakia kila la kheri katika hayo unayoyaandaa. Baba ameondoka lakini muziki wake utabakia. Kila siku huwa nasikiliza (my favourite song)
"Awali sisi rafiki, maisha yetu pamoja eeh, tuliishi kama ndugu...., mivutano ni ishara...., nashangaa sana ndugu, usiwe ndumilakuwili...."

Mdau, Cardiff, UK.