Saturday, September 03, 2011

Fesheni 'GawaKundu' Yaleta Matatizo!

Hii fesheni ya kutangaza kuwa unagawa mkundu, umemletea mtu mwingine matatizo hapa Marekani.

Leo kuna habari kuwa mwimbaji Billie Joe Armstrong wa bendi Green Day alifukuzwa kwenye ndege ya Southwest Airlines alipokataa kupandisha suruali yake zilizokuwa fesheni GawaKundu. Alikuwa anasafiri kutoka Oakland, California kwenda Burbank, California. Soma habari kamili kwa kubofya HAPA.

Msemaji wa Southwest anasema kuwa Armstrong aliruhusiwa kupanda ndege nyingine. Nadhani kwa vile mzungu.

Kuna kijana mwingine mweusi ambaye alifungwa mwaka huu kwa vile alijaribu kupanada ndege ya US Airways na fesheni GawaKundu. Deshon Marman ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha New Mexico na pia mcheza football alikamatwa na kushitakiwa kwa makosa kadhaa ya jinai.

Lakini ajabu, kuna mwanaume wa kizungu aliyeruhusiwa kupanda ndege ya US Airways akiwa amevaa chupi ya kike na sidiria tu!

Soma habari ya Marman na Bikini Man kwa kubofya HAPA:


US Airways wamefuta mashitaka dhidi ya Marman, lakini keshateseka na kuaibika, na pia hawajamrudishia nauli ya $500 wala kumwomba msamaha! Wanasema kuwa Crew walikuwa na haki ya kufukuza kwenye ndege. Ukiwa mtu mwenye rangi Marekani ushike adabu ukipanda kwenye ndege asante 9/11! Sasa hao crew ya ndege wanaweza kukufukuza kwenye ndege hata wasipopenda sura yako!

Kwa habari zaidi ya kesi ya kijana Marman tembelea:

http://www.sfexaminer.com/local/peninsula/2011/07/deshon-marman-sue-us-airways-after-saggy-pants-arrest

NOTE: Fesheni GawaKundu si mbayawakati mwingine, nimeshaona matako ya vijana wengi wa kizungu, weusi na waAsia baada ya suruali zao kuanguka wakiwa wanatembea!!! LOL!

6 comments:

SIMON KITURURU said...

Jina tu hilo``Gawa kundu ´´ ndio sijawahi sikia!


Lakinin sio kweli kuwa wavaao hivyo wanauhusiano na jina hilo kwa kuwa wengi wavaao hivyo hata miziti wasikilizayo ni itusiyo WASENGE lakini!

Ni mtazamo tu!

Anonymous said...

Kweli Marman aibaguliwa. Mzungu anaruhusiwa kusafiri nusu uchi. Yeye kashusha suruali! Walikuwa wanatafuta kisingizio.

Anonymous said...

al anisa Simon Kitururu natamani sana nikuone na fasheni yako ya gawa nanihii yakhe,
miye ntaweza lipa pesa ili niruhusiwe kukutazama tuu na fasheni hiyo.


Mzee wa Malindi

Anonymous said...

Huyu mzungu na chupi na yule aliye vaa gawakundu wote wasenge! Tatizo aliypopata Marman ni shauri ya homophobia yaani kuogopa wasenge. Bora mwili wa Marman ulikuwa umefunikwa lakini waliogopa kwa vile walidhai atataka kugawa kwenye ndege!

SIMON KITURURU said...

@Mzee wa MAlindi: Acha matusi Mzee! Tuheshimiane angalau kidogo basi Mtu Mzima!

John Mwaipopo said...

mtakatifu simeone kitururu kama nakuunga mkono vile!